Hakina mama hawakuwa nyuma kama walezi wa familia walihakikisha wanashiriki vyema kwenye kupata elimu ya umuhimu wa kujiunga na CHF.
Wazee hawakuwa nyuma kwenye kampeni za kujiunga na mifuko ya afya ya jamii (CHF)
Baada ya Elimu kilichofuata ni wananchi kujiandikisha,kujihakikishia huduma stahiki za matibabu.

No comments:
Post a Comment