Friday, July 13, 2012

WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA UHOLANZI KUJADILI MABORESHO KATIKA SEKTA YA AFYA



Watendaji wakuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Biashara na Uwekezaji katika huduma za afya kutoka nchini Netherland .



Meneja Mkuu na mmiliki wa Hospitali zinazojengwa kwa kutumia makontena (Hospitainer) na kuweza kupelekwa kutoa huduma za afya maeneo yoyote kutoka nchini Netherland Bw. Rolof Mulder akiongea na watendaji wa wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuelezea namna kampuni hiyo inavyofanya kazi zake.


Kaimu mgaga mkuu wa serikali Dkt. Donan Mmbando akizungumza na ujumbe wa Biashara na Uwekezaji katika huduma za afya kutoka nchini Netherland mara baada ya ujumbe huo kuwasili makao makuu ya Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii jana jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment