Saturday, July 28, 2012

WANANCHI WILAYANI NACHINGWEA WATAKIWA KUHAINISHA VIPAUMBELE VYA MAENDELEO-DC


Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea,iliyopo Mkoa wa Lindi Bi Regina Chonjo akiongea na wananchi kuhusu mikakati mbadala ya kusukuma maendeleo ya kiuchumi kupitia fursa zilizopo wilayani humo,mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa TTC wilayani humo.

Wananchi wa Wilaya ya Nachingwea wakiagana na Mkuu wa Wilaya yao Bi Regina Chonjo punde baada ya kumaliza mkutano wa pamoja.

No comments:

Post a Comment